Mpango wa 31 wa Waziri mkuu wa India Bw  Narendra Modi unaoitwa kama Mann Ki Baat utatangazwa mnamo tarehe 30 mwezi wa Aprili

Waziri Mkuu wa India bw Narendra Modi atazungumza na wasikilizaji wa shrika la habari la India AIR katika toleo la pili ya mpango wa  Mann Ki Baat manomo  tarehe 30 ya mwezi huu. mpango utatangazwa kwenye mtandao mzima wa Mashrika yaa habari la India yanayoitwa kama AIR na Doordarshan. Huu utakuwa sehemu ya 31 ya mpango wa kila mwezi wa redio Waziri Mkuu wa India bw Narendra Modi.