Waziri mkuu wa India  kuheshimu watendaji wa serikali kwa ubora katika utawala wa umma katika sherehe ya siku ya huduma za kijamii

Waziri Mkuu wa India bw Narendra Modi ataheshimu watendaji wa serikali kwa Ubora katika Utawala wa Umma katika sherehe ya siku ya huduma za kijamii katika mji wa New Delhi leo. Waziri Mkuu wa india bw  Narendra
Modi  anatoa tuzo la  PM kwa ajili ya Ubora katika Utawala wa Umma kwa Wilaya na    mashirika mengine ya serikali kuu na serikali ya majimbo ya Nchi kwa ajili ya utekelezaji wa mipango na sera muhimu.