Makamu Rais wa India bw  Hamid Ansari atafanya ziara ya  5 katika nchi za Armenia na  Poland kutoka tarehe 24 ya mwezi wa Aprili

Makamu wa Rais wa India bw  Mohammad Hamid Ansari panda juuatafanya ziara ya  5 katika nchi za Armenia na  Poland kutoka tarehe 24 ya mwezi wa Aprili siku ya Jumatatu. Wakati wa ziara yake , Bw Ansari atakuwa na mazungumzo na viongozi wakuu wa nchi mbili kuhusu masuala ya mbalimbali . kuzungumzia na  vyombo vya habari katika mji wa New Delhi siku ya Alhamisi,  Katibu wa mambo ya masuala ya mashariki wa India bi Preeti Saran , alitoa taarifa kwamba hii ni ziara ya kwanza Makamu wa Rais wa India bw  Mohammad Hamid Ansari kwa nchi hizi mbili.