Nchi ya Sweden ina nia ya kujihusishsa na  mji wa maendeleo ya kisasa ya  India

Nchi ya Sweden ina nia ya kujihusishsa na  mji wa maendeleo ya kisasa
ya  India.  Waziri wa Umoja wa Ulaya wa Mambo na Biashara  wa Sweden
bi  Ann Linde  alikutana  na Waziri wa Maendeleo ya Mji wa India bw
M.Venkaiah Naidu mjini New Delhi siku ya Alhamisi na kufanya
mazungumzo  juu ya maeneo ya ushirikiano katika maendeleo ya miji ya
kisasa. bi  Ann Linde  alisema nchi yake ni kiongozi wa  kimataifa
katika usimamizi wa taka, ufumbuzi uhamaji mijini, mifumo  maegesho,
hewa,  na mifumo ya udhibiti, ambazo ni muhimu kwa mipango ya  mji wa
kisasa nchini India .