Hukumu ya Mahakama ya Kimataifa ya Haki ICJ kuthibitisha  msimamo wa Nchi ya India

Kuthibitisha  msimamo wa Nchi ya India, Mahakama ya Kimataifa ya Haki
(ICJ) ilieleza nchi ya  Pakistan kuwa ni lazima kukomesha utekelezaji
wa hukumu ya kifo iliyotolewa na mahakama ya kijeshi ya Pak kwa bw
Kulbhushan Jadhav mpaka Mahakama ya Kimataifa ya Haki ICJ ilitangaza
hukumu yake ya mwisho kuhusu suala hilo. hukumu hiyo  ilipitishwa kwa
sauti moja  na nchi ya Pakistan iliulizwa kutoa taarifa kwa mahakama
hiyo  kuhusu hatua itachukua kutekeleza utaratibu. nchi ya India
ilikuwa imehamia katika mahakama ya  ICJ wiki iliyopita na iliweka
kesi dhidi nchi ya Pakistan juu ya kizuizini na kesi ya bw Jadhav,
ambaye alitolewa hukumu ya  kifo na mahakama ya kijeshi nchini
Pakistan  mnamo tarehe 10 mwezi wa  Aprili mwaka huu.

Nchi ya India ilipinga nchi ya  Pakistan kwa kuvunja  Mkataba wa
Vienna juu ya  Mahusiano ya Kibalozi” ambapo Pakistan ililazimika
kutoa taarifa  kwa nchi India  kuhusu kizuizini bw Jadhav na pia
kutoa idhini ya ubalozi wa mtuhumiwa na pia kujulisha mtuhumiwa wa
haki yake chini ya Mkataba, kuwasiliana na ofisi kibalozi. Kwa kweli,
India ilitolewa habari  kuhusu kukamatwa kwa bw  Jadhav, baada ya
siku 22 iliripotiwa katika vyombo vya habari wa Pakistan na alikuwa
alitaka haraka upatikanaji kibalozi .