UHUSIANO WA KIBIASHARA SASA  KATI YA PANDE ZOTE MBILI

Wakati huu nchi ya india inaendelea kunufaisha uhusiano wake wa kiuchumi na nchi za Bara la Africa , licha ya hiyo nchi ya india inaongeza ushirkiano kati ya watu wa pande zote mbili . Mkutano wa tatu wa India na Africa ambao ulifanyka mnamo mwezi wa oktoba mwaka elfu mblili kumi na tano , ulisadia kuongeza uhusiano kati ya india na bara la Africa . Nchi ya india ilitumia nafasi hii kwa kuimarisha diplomasia na uchumi . Mkutano huo uliongeza uhusiano katika maeneo ya kibiashara na uwekezaji kati ya pande zote mbili .Hata sekta ya binafshi pia ilishiriki katika mkutano huo . viongozi wengi wa nchi za bara la afrika hasa kutoka nchi zinazoendelea walishiriki katika mkutano huo . Malengo ya mkutano huo yalikuwa kunufaisha uhusiano kati ya india na nchi za bara la africa katika sekta nyingi kama vile biashara ,uwekezaji , usalama wa chakula , tecknologiya za mawasiliano na habari , amani na usalama, na utawala mzuri. viongozi wa nchi ya india na bara la africa walikubali umuhimu wa mawasiliano kati ya watu wa pande zote mbili.

Biashara kati ya India na bara la afrika liliongeza kutoka dolla za marekani bilioni ishirini na tano mnamo mwaka elfu mbili na saba na lilifikia doll za marekani bilioni hamsini na saba mnamo mwaka elfu mbili kumi na moji,  mpaka mwaka elfu mbili kumi na tatu bihashara hizo kati ya pande zote mbili lilifikia dola za marekani sitini na saba . Kuna Makadario kwamba biashara kati ya pande zote mbili zitafikia dolla za marekani bilioni themanini mpaka mwaka elfu mbili na ishirini. Serikali ya inida ilifanya mpango wa bara la africka mnamo mwaka elfu mbili na mbili , lengo ya mpango huo ulikuwa kuongeza biashara kati ya pande zote mbili , kipindi cha mpango huo ulikuwa kutoka mwaka elfu mabili na mbili hadi elfu mbili na saba na kuhushisha nchi ishirini na nne za bara la africa katika mpango huo, sasa mpango unatoa faida za kibashara kati ya pande zote mbili. Serikali ya India inafahamu umuhimu wa nchi za bara la afrika na shirika la BRICS lenye nchi za (Brazil ,Russia , India, China. South Africa)  ni mfano wa kidiplomasia baina ya nchi ya India, Brazil na Africa kusini yatasadia jitihada za india za kutaka kuwa nchi mwanachama kudumu katika baraza la usalma la umoja wa mataifa na nchi za bara la africka zitasadia sera ya india katika baraza la usalama la umoja wa mataifa.