Uchaguzi wa Rais unafanyika leo wakati huo huo katika Nyumba ya  Bunge la India na katika mabunge ya majimbo ya India


Uchaguzi wa kumchagua Rais mpya wa India unafanyika leo. Kutakuwa na
mapambano ya moja kwa moja kati ya mgombeaji wa muungano wa vyama vya
kisiasa wa NDA bw Ramnath Kovind na mteule wa upinzani bi Meira Kumar.
uhesabu wa kura utafanyika siku ya  Alhamisi. muda wa Rais wa sasa wa
India bw  Pranab Mukherjee unamalizika  mwishoni mwa mwezi wa 24 wa
mwezi huu. Matayarisho maalum yamefanyika katika Bunge la India na
katika mabunge ya majimbo ya India .