UMUHIMU WA ELIMU YA KISASA

Elimu kama ilivyokuwa kiwanda cha huduma na pia imekuwa hisa ya utandawazi chini ya mapatano yaliyofanyika kuhusu biashara katika sekta ya elimu, kila nchi katika dunia nzima inataka elimu maalum kwa mujibu wa mahitaji ya wananchi wao , na miundombinu zilizoko katika nchi zao . India inayamkini kuwa masoko ya elimu kwa wanafunzi wa nchi mbalimbali za kigeni na wanatumia mapatano yanahusu biashara katika huduma kwa faida zao . Lakini elimu ni sekta maalum ambayo inaweza kuongeza ukuaji wa kiuchumi, na sasa kuna uhusiano maalum miongi mwa sekta za kiuchumi , kisiasa , utamduni na elimu.

    kwa mfano uhusiano kati ya elimu na utandawazi , kwanza ni itatoa nafasi ya mashindano zaidi na mfumo muhimu wa elimu katika  mpango wa biashara huru. Pili ni mfumo wa elimu unaongeza uwezo wa taifa na utamaduni wa taifa na maendeleo ya kiaifa katika sekta zote. Hata utandawazi umeshirikiana na sekta zote za maendeleo pamoja na maendeleo ya kiuchumi .

     umuhimu wa utandawazi na elimu ni kutoa nafasi ya elimu mbalimbali ambazo ni muhimu kwa maendeleo ya elimu na wanafunzi wa nchi zote za dunia . Teknologia za habari zimebadilisha hali ya maarifa na elimu , maendeleo katika vyombo vya habari na teknologia ya habari zinatoa nafasi ya elimu kwa watu wa kawaida .

mipango ya kiteknologia ya habari zinatoa elimu ya kisasa na habari za sekta zote . Utumiaji wa tanakilishi unasadia watu katika elimu ya kisasa .kuna haja ya kufahumu maendeleo yanayofanyika kila siku katika teknologia za kisasa za habari.Sasa elimu inasadia kufahumu mfumo wa ulimwengu, utamaduni wa nchi mbalimbali, ustaarabu na maadili ya wananchi wa dunia.

   Maarifa ya kiteknologia ya habari inayoendelea  kubadili maisha ya jamii.Lengo maalum ya utamaduni ni kuongeza uzalishaji na kufanya mfumo wa elimu na kuwatyarisha wanafunzi kwa kufanya mashindano katika masoko ya kimataifa , Lengo jingine la utandawazi ni kuongeza ustadi wa elimu katika wanafunzi .

   Bila shaka utandwazi unatoa faida kwa mfumo wa elimu na umekazia haja ya mabadiliko katika mfumo wa elimu kwa mujibu wa teknologia ya kisasa ya habari na pia unatoa nafasi ya utafiti na maendeleo . Utandawazi unasadia mfumo wa elimu katika nchi zinazoendelea .

 Hata hivyo hii ni lazima kila nchi inapaswa kutoa elimu ya kisasa kwa maendeleo ya wanafunzi na vilevile maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Mfumo wa elimu ulihusika na maendeleo ya binadamu na kutoa nafasi ya kazi katika masoko ya kimataifa .

Katika nchi ya India ,Mpango wa elimu ya utamaduni ulianzwa mnamo mwaka elfu moja mia tisa themanini na nane . Lengo la mpango huo ulikuwa kuwahushisha wanafunzi asilmia kumi na elimu ya utaalaumu mpaka mwaka elfu moja mia tisa tisini na tano na asilmia  ishirini na tano mpaka mwaka elfu mbili , Lakini mpango huo ulipata maendeleo mnamo mwaka elfu moja mia tisa tisini na nane na mpaka sasa wanafunzi maelfu kwa maelfu wamepata faida za mpango wa elimu . Nchini India sasa wanafunzi wanapata elimu ya kisasa kwa misada ya teknologiya ya habari katika taasisi kubwa za elimu za kiserikani na kibinafshi.

Kuingia kwa shirika la biashara la dunia yaani (WTO) na mapatano kuhusu biashara katika huduma pia zimetoa ukuaji mkubwa kwa elimu ya kimataifa,

Tunamalizia mazungumzo haya na kauli iliyotolewa na baba wa taifa la India mahatma Gandhi kuhusu umuhimu wa utandwazi  na elimu kwamba utandawazi unahusisha watu wa dunia  nzima kwa elimu na kazi za utandawazi ni muhimu kwa maendeleo ya kibinadam.