Ripoti ya Uchumi wa nchi ya India haiwezi kukuwa kwa asilimia 7.5

The Economic Survey 2 – Ripoti ya uchumi wa nchi ya India ya pili kati ya mwaka wa 2016-2017 inaonyesha kuwa ni vigumu kwa nchi ya India kufikia lengo la ukuzaji wa uchumi kwa Asilimia 7.5 . Hii ni baada ya serikali ya nchi ya India kuweka sera mpya za kiuchumi kama vile kumaliza noti za Rupee 500 na 1000. Pia na kuongeza mfumo mpya wa kodi wa GST.