Uhindi inajulikana kwa maendeleo yake yote: EAM Sushma Swaraj

Waziri wa mambo ya nje wa nchi ya India Bi Sushma swaraj hivi jana asema kuwa nchi ya India inajulikana kote Duniani kwa kuleta maendeleo ya kisasa katika sekta zote. Bi Swaraj alisema haya hivi jana alipokuwa akitoa hotuba katika sherehe za kuadhimisha miaka 70 tangu uhuru wa nchi ya Nepal katika makao ya Balozi wa Nchi ya India nchini Nepal.