Mkutano wa BIMSTEC wa kamilika nchini Nepal.

Mkutano wa 15 wa mawaziri wa BIMSTEC wakamilika mjini Kathmandu Nchini Nepal hivi jana. Akifunguwa Mkutano huo kiongozi wa nchi ya Nepal Bwana Sher Deuba alisema kuwa anamatumai kuwa mwisho wa mkutano huo utaleta nchi hizo chama kuwa rafiki wa karibu ilikuongeza Ushirikiano baina yao. Waziri mkuu bwana Deuba pia alijadilia maswala kadha yanayokumba nchi chama kwa ujumla kama vile swala la ukuwaji wa ugaidi katika nchi chama.