Nchi ya Pakistan inakuza ukuwaji wa Ugaidi katika Bonde la Kashmir.

Kamiti speshali ya bunge la nchi ya India hii leo imesema kuwa Nchi ya Pakistan inatafuta namna ya kuharibu utulivu na kuleta vurugu katika eneo la nchi ya India katika Bonde la kashmir. Haya yalisemwa hii leo na kiongozi wa kikundi hicho Dkt. Shashi Tharoor. Hivi sasa kamiti hiyo inaangalia mzozano baina ya nchi ya India na Nchi ya Uchina.