Bunge la Nchi ya India la ahirishwa.

Hapa nchi ya India bunge kuu la Rajya Sabha na Bunge ndogo la Lok Sabha la ahirishwa baada ya kumaliza kazi kirasmi katika msimu huu wa Monsoon. Bunge hizo zilikuwa na mikutano 19 ambazo zilikuwa kwa masaa 71. Spika wa Bunge la Lok Sabha Bi Sumitra Mahajan alisema kuwa kulikuwa na miswada 17 ambayo iliweza kupitishwa kwa muda huo.