Waziri Mkuu wa Japan Bw  Shinzo Abe atafikia mji wa Ahmedabad leo kwa ajili ya mkutano wa kila mwaka wa pande zote mbili za  India na Japan; Waziri Mkuu wa India bw Narendra Modi kumpokea

Waziri Mkuu wa India bw  Narendra Modi atampokea mpenzi wake wa
Kijapani bw Shinzo Abe huko Ahmedabad katika jimbo la India la
Gujarat leo. Bw  Abe anakuja nchi ya India kwa ziara ya siku mbili kwa
kuhudhuria mkutano wa kila mwaka wa pande zote mbili za India na
Japan. Toleo la 12 la mkutano huo, ambalo litakuwa mkutano wa nne kati
ya Bw Modi na Bw Abe, ambao utafanyika mjini  Gandhinagar  kesho.