Kipindi cha amani kilivunjwa na nchi ya  Pakistan katika eneo la Poonch; watu watano,  pamoja na wanajeshi wawili wa jeshi la mpaka la BSF waliojeruhiwa

Katika uvunjazi  mwingine wa kipindi cha amani , vikosi vya Pakistani
vilikuwa vimepiga risasi na kufanya shambulio kwa makambora kwenye
mpaka wa kimataifa na msatari wa udhibiti  katika wilaya za jimbo la
India la  Jammu na Kashmir za Jammu na Poonch . Watu watano,  pamoja
na wanajeshi
wawili wa jeshi la mpaka la India la  BSF, walijeruhiwa katika tukio
hilo lililoanza Jumatano jioni.