Vijana elfu mia moja  kupata mafunzo ya kazi nchini Japan: Bw Dharmendra Pradhan

Serikali ya India  itatuma vijana elfu mia moja  kwenda nchi ya Japan
kwa mafunzo ya kazi kwa kipindi cha miaka mitatu hadi mitano kama
sehemu ya programu ya maendeleo ya ujuzi wa serikali. Katika mfululizo
kwa njia ya kijamii aina  tweeta, Waziri wa  Maendeleo ya Ujuzi na
Wajasiriamali Bw Dharmendra Pradhan alisema, Nchi ya Japan itachukua
gharama ya kifedha ya mafunzo ya ujuzi wa wafanyakazi wa kiufundi wa
Kihindi.