Rais wa India Bw Kovind atasimamia Mkutano wa Magawana wa siku 2 ambao unaanza kutoka  leo

Rais wa India bw Ram Nath Kovind atasimamia Mkutano wa Magwana  wa
siku mbili ambao unaanza kutoka  leo katika ikulu ya rais wa India ya
Rashtrapati Bhavan. Mkutano utazingatia vitu muhimu vya ajenda katika
vikao tofauti. Mandhari ya kikao cha ufunguzi itakuwa New India mwaka
2022.