Magaidi wawili waliuawa katika mapambano na vikosi vya usalama katika Handwara lililoko katika jimbo la India la  J & K

Katika  jimbo la India la Jammu na  Kashmir, magaidi wawili wasiojulikana waliuawa katika mapambano  na vikosi vya usalama katika eneo la Handwara  kaskazini mwa kashmir ya Kupwara jana jioni.