Nchi zote mbili za India na  Philippines zimetia saini mikataba minne katika nyanja mbalimbali,  pamoja na ushirikiano wa ulinzi na kilimo  

 

Mikataba minne ilisainiwa na India na Philippines katika maeneo mengi pamoja na Ushirikiano wa Ulinzi na Usafirishaji, Kilimo, na viwanda vidogo -MSME na kuanzisha uhusiano wa karibu kati ya Halmashauri ya India  ya Mambo ya Dunia na Taasisi ya Huduma za Nje za Philippines