Nchini Pakistan:Rais wa nchi ya pakistan alitia saini  mwada wa Ndoa wa dini ya kihindu ndani ya sheria

Katika nchi ya Pakistan, Rais wa nchi hiyo bw Mamnoon Hussain
alikubali mswada wa  Ndoa dini ya kihindu  ndani ya sheria siku ya
Jumapili. Sheria hiyo  kulinda ndoa ya dini ya kihindu na haki za
familia za wahindu nchini pakistan.Rais wa pakistani alitia saini
muswada huo wa sheria kwa mashauri yaliyotolewa na  Waziri Mkuu wa
pakistani.