Wanajeshi wa majeshi ya usalama ya nchi za India na Oman wamemaliza mazoezi ya pamoja ya kijeshi ya  Al-Nagah-II 2017  katika eneo la Himachal

Wanajeshi wa majeshi ya usalama ya nchi za India na Oman kumaliza
mazoezi ya pamoja ya kijeshi ya  Al-Nagah-II 2017  katika ukanda wa
jimbo la india la Himachal Pradesh jana. Mazoezi hayo ya kijsehi
yalikuwa na lengo la kuimarisha uhusiano wa kijeshi kati ya nchi hizo
mbili. Wakati wa mazoezi ya kijesi ya siku 14  wanaaskari wa majeshi
hayo mawili walifanya mazoezi ya kijeshi ya  kukabiliana na wapiganaji
na shughuli nyingine katika maeneo mbalimbali kama maeneo ya theluji
na misitu .