Nchi za India na Pakistan kufanya mkutano wa PIC katika mji wa Islamabad

Nchi zote mbili za India na Pakistan zitafanya mkutano wa Kudumu wa
Tume ya Indus katika mji wa Islamabad nchini pakistani .  wajumbe 10
kutoka upande wa india  waliwasili jana katika mji huo kwa kushiriki
katika mkutano huo wa siku mbili . kundi la wajumbe wa india
linaongozwa na  Kamishna wa tume ya maji ya India ya Indus bw PK
Saxena, na maafisha wa Wizara ya Mambo ya nchi za Nje na wataalamu wa
sekta hiyo.Mkutano huo unafanyika karibu miezi sita baada ya India
iliamua kuahirisha mazungumzo juu ya  mashambulizi ya kigaidi ambayo
yalifanywa katika eneo la india la Uri na kundi la kigaidi lenye
msingi katika nchi ya pakistan