Waziri mkuu wa India bw  Modi alihotubia  Mkutano wa Kimataifa wa Diamondi kwa njia ya mkutano wa video

Waziri Mkuu wa India bw Narendra Modi amesema kuwa Serikali yake
inakazia sera ya kuifanya nchi ya india masoko ya kimataifa ya
biashara ya diamondi. bw  Modi alihotubia  Mkutano wa Kimataifa wa
Diamondi kwa njia ya mkutano wa video ambao uliofanyika katika mji wa
Mumbai nchini india, Bw Modi alisema kuwa  Serikali ya india
imechukua hatua nyingi za  kuleta mabadiliko kama hatua ya kuifanya
nchi ya India masoko ya biashara  na  ufundi  katika sekta ya vito   .
Sera hizo ni mfano mkuu wa uwezo wa juhudi za serikali ya india .