Bw Kim amesema hatua ya kukomesha silaha za nyuklia itategemea kukomesha kupinga

Kiongozi wa Korea Kaskazini Bw Kim Jong-un amesema, hatua ya kukomesha silaha za nyuklia kunategemea Washington na Pyongyang kuacha hatua ambazo zinapingana.  Akinukuu Kim, vyombo vya habari vya Kaskazini vinasema, ili kufikia amani na utulivu wa nchi hiyo, nchi hizo mbili zinapaswa kujitolea kujiepusha na kutoeleana.