Mann Ki Baat (28.10.2019)

Wananchi wapendwa, Namaskar. Kwenye sherehe ya kidini ya Deepawali, salamu kwa nyinyi nyote. Tunajua mistari ya Shlok-Shubham Karoti Kalyanam, Aarogyam Dhansampadaa. Shatrubudhdhi Vinashaay, Deepajyo...