Matarajio ya amani kati ya Pakistan na Afgahnistan

Hatimaye, inaonekana kana kwamba Mullah Fazlullah ameishiwa na kismati. Emir huyo mtelezi wa kundi lililopigwa marufuku la Tehreek-e-Taliban Pakistan (TTP) aliyeaminiwa kuuliwa angalau mara mbili hap...