IJUMAA KUU KUZINGATIWA LEO

Ijumaa kuu  kuzingatiwa leo na Wakristo duniani kote kuashiria kusulubiwa kwa Yesu Kristo na kifo chake huko Kalvari. Inazingatiwa siku ya Ijumaa kabla ya Jumapili ya Pasaka, ambayo inaashiria ufufuo...