UGAIDI ULAYA NA WITO WA NCHI YA INDIA WA CCIT.

Mashambulizi ya kigaidi yametekelezwa katika nchi chama katika muungano wa Ulaya kama nchi za Ufaransa, Uspania, ubelgiji, Unigereza, Italia, nchi ya Ugiriki na nchi ya Denkmak. Baada ya Mashambulizi...

NCHI YA MYANMAR KUMCHGUA RAIS MPYA.

Rais wa nchi ya Myanmar Bwana U Htin Kyaw wiki hii alijiuzulu kama rais wa nchi. Bwana Kyaw alichukua uongozi wa nchi ya Myanmar mwaka wa Elfu mbili kumi na sita baada ya kushinda uchaguzi mwaka wa E...

MKASA WA RAIA WAFANYIKAZI NCHINI MOSUL.

Waziri wa mambo ya nje ya nchi ya India Bi Sushma Swaraj alifamisha bunge kuu la nchi ya India la Juu (Rajya Sabha)kuwa raia wa nchi ya India wafanyikazi nchini Iraq waliotekwa nyara na kikundi cha u...

Wiki hii katika bunge la India

Jambo kuu la wiki hii katika Bunge lilikuwa ni nod kutoka kwa Nyumba zote za Bunge kwa anwani ya Rais. Siku ya Jumatano,  bunge la juu LA India  Rajya Sabha lilikubali hoja ya Shukrani kwa anwani ya ...

UMUHIMU WA ELIMU YA KISASA

Elimu kama ilivyokuwa kiwanda cha huduma na pia imekuwa hisa ya utandawazi chini ya mapatano yaliyofanyika kuhusu biashara katika sekta ya elimu, kila nchi katika dunia nzima inataka elimu maalum kwa...

Hisoriya ya uhusiano kati ya pande zote mbili

Kila mara nchi ya India imekuwa mshirika mkubwa wa bara la Africa kwa jumla  . Tangu karne nyingi zilizopita  wanaoishi hizi mbili wamekuwa na mshikamano dhabiti. kwa muda mrefu  jamii za Wahindi na ...