Elimu kama ilivyokuwa kiwanda cha huduma na pia imekuwa hisa ya utandawazi chini ya mapatano yaliyofanyika kuhusu biashara katika sekta ya elimu, kila nchi katika dunia nzima inataka elimu maalum kwa...
Shirika la Fedha Duniani (IMF) limeeleza kwamba thamani ya mauzo kati ya nchi za India na Afrika imeongezeka kwa zaidi ya 100% mnamo mwaka elfu mbili na nane hadi elfu mbili na tatu kwa maana yak...
Kila mara nchi ya India imekuwa mshirika mkubwa wa bara la Africa kwa jumla . Tangu karne nyingi zilizopita wanaoishi hizi mbili wamekuwa na mshikamano dhabiti. kwa muda mrefu jamii za Wahindi na ...
Wakati huu nchi ya india inaendelea kunufaisha uhusiano wake wa kiuchumi na nchi za Bara la Africa , licha ya hiyo nchi ya india inaongeza ushirkiano kati ya watu wa pande zote mbili . Mkutano wa tat...
Sekta ya afya inatarajiwa kukuwa kwa dola za marekani bilioni mia mbili na themanini mpaka mwaka elfu mbili na ishirini . Sekta hiyo inapata ukuaji kila mwaka, asilmia kumi na sita lakini ripoti ya s...
Uhushiano kati ya India na Bara la Afarica in mkongwe na tena wa kisasa. Ukongwe wake unatokana na ukweli kwamba nchi nyingi katika bara la Afirika , zilikuwa chini ya nira ya mkoloni . Jinsi ilivyok...
Kila mara nchi ya India imekuwa mshirika mkubwa wa bara la Africa kwa jumla . Tangu karne nyingi zilizopita wanaoishi hizi mbili wamekuwa na mshikamano dhabiti.Tukiangalia nyuma kidogo katika histo...